CFR | Mwanzo

Dkt. FELIX WANDWE,ndc
Dkt. FELIX WANDWE,ndc
Kaimu Mkurugenzi

Soma zaidi

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim

MAHAFALI YA 28 YA KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKT. SALIM AHMED SALIM KUFANYIKA DIAMOND JUBILEE, TAREHE 6 JANUARI 2026

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Kaimu Mkurugenzi wa CFR Dk.Felix Wandwe ndc (kulia), akizungumza na Mheshimiwa Andrey Avetisyan Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini Tanzania, katika Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt.Salim Ahmed Salim.

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Mhe.Bacar Salim ameongoza ujumbe kutoka nchi hiyo kutembelea Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt.Salim Ahmed Salim jijini Dar es Salaam.

Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim

Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Michael Battle (aliyekaa katikati), katika picha ya pamoja na Dkt. Felix Wandwe, ndc Kaimu Mkurugenzi (CFR), (wa pili kulia) baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti na Wawakilishi wa Wanafunzi wakati wa ziara ya Mhe. Balozi kutembelea Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim, 23 Mei 2024

Previous Next
Fomu ya Maombi
Matangazo

MAHAFALI YA 28 YA KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKT. SALIM AHMED SALIM KUFANYIKA DIAMOND JUBILEE, TAREHE 6 JANUARI...

2025 Dec, 29

WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MASOMO KITUO CHA UHUSIANO WA KIMATAIFA CHA DKT.SALIM AHMED SALIM KWA MWAKA WA MASOMO 2025/20...

2025 Oct, 24

INTERNATIONAL DIPLOMATIC REVIEW JOURNAL CALL FOR PAPERS

2025 Sep, 08 Angalia Zaidi Academic

Utafiti na Uchapishaji

Kujihusisha na Utafiti unaohusiana na matatizo na mahitaji ya masomo yaliyochaguliwa na kutathmini matokeo yaliyopatikana kupitia programu za mafunzo.

Academic

Kukuza muamko wa kijamii, kiuchumi na kisiasa

Kukuza mwamko wa kijamii, kiuchumi na kisiasa kwa kutoa fursa za masomo ya mambo ya kimataifa na mafunzo katika kanuni, taratibu na mbinu za diplomasia.

Academic

MAHAFALI YA 28 YA CFR - 6 JANUARI 2026

Mahafali ya 28 ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) kufanyika Diamond Jubilee, tarehe 6 Januari 2026.

Wanafunzi Document Ya kwanza E-resources E-Resources Soma zaidi Habari Mpya

KUHITIMISHWA KWA KOZI YA UONGOZI NA UJUZI WA MAJADILIANO KATIKA KITUO CHA DKT. SALIM AHMED SALIM

Từ khóa » Http//saris.cfr.ac.tz