THE LAW SCHOOL OF TANZANIA

ONLINE APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO THE PRACTICAL LEGAL TRAINING PROGRAMME IN THE JANUARY 2026 INTAKE NOTICE OF REGISTRATION FOR APPLICANTS ADMITTED TO THE PGDLP PROGRAMME – JANUARY 2026 INTAKE NOTICE OF SESSIONS FOR LS 105 AND 106 FINAL EXAMINATIONS Soma zaidi Previous Next First slide
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Mhe. Hamza Johari (katikati) akishuhudia makabidhiano ya hati ya makubaliano ya kuimarisha mashirikiano baina ya Ofisi yake na Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST). Hafla hiyo imefanyika tarehe 2 Julai, 2025 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Samwel Maneno na kulia ni Mkuu wa Taasisi ya LST Prof. Sist Mramba.
First slide
Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania - Divisheni ya Kazi, Mhe. Jaji Dkt. Yose Mlyambina amekabidhi juzuu za maamuzi ya migogoro ya kazi kwa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST). Juzuu hizo zimepokelewa na Mkuu wa Taasisi ya LST, Prof. Sist Mramba na zinatarajiwa kuwasaidia wanafunzi, watafiti na wadau mbalimbali wa masuala ya sheria kupata rejea sahihi na tafsiri za kisheria katika migogoro ya kazi. Makabidhiano hayo yamefanyika tarehe 10 Oktoba, 2025 katika Ofisi za LST jijini Dar es Salaam ambapo yalishuhudiwa na baadhi ya Watumishi wa Mahakama Kuu pamoja na LST.
First slide
Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Eliakim Maswi (katikati) akiimba wimbo wa wafanyakazi pamoja na viongozi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wafanyakazi wa LST lililofanyika tarehe 3 na 4 Aprili, 2025 jijini Dodoma.
First slide
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Homera (aliyesimama katikati mstari wa mbele) akiwa na Menejimenti pamoja na Watumishi wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) alipotembelea LST kwa ziara ya kikazi tarehe 12 Desemba, 2025. Katika ziara hiyo aliambatana na Naibu Waziri Mhe. Zainab Katimba pamoja na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Franklin Rwezimula.
First slide
Wanafunzi wa Law School wakiwa kwenye mafunzo kwa vitendo
First slide
Baadhi ya wahitimu wa Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania (LST) wakila kiapo cha Uwakili mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania.

Huduma Zetu

Online Application Student Records Information System Payment Portal
Habari Tazama Zaidi Tazama Zaidi
WAZIRI DR. HOMERA ATEMBELEA LST 24 Dec 2025 KATIBU MKUU MASWI AIPA KONGOLE LST 09 Apr 2025 Naibu Waziri Sagini Atembelea LST 07 Jun 2024
Matangazo Tazama Zaidi Tazama Zaidi
09 01/2026 ONLINE APPLICATIONS FOR ADMISSION INTO THE PRACTIC... 31 12/2025 NOTICE OF REGISTRATION FOR APPLICANTS ADMITTED TO... 31 12/2025 NOTICE OF SESSIONS FOR LS 105 AND 106 FINAL EXAMIN...
Matukio Tazama Zaidi Tazama Zaidi

Mafanikio Yetu

Wahitimu LST

Maisha ya Campus

25 Oct, 2023 Baadhi ya wanafunzi wa LST wakiwa kwenye uwanja wa michezo uliopo katika kampasi...
Nifanyaje? Tazama Zaidi Tazama Zaidi

?

Je kozi ya Stashahada ya juu ya Mafunzo ya Sheria kwa vitendo inachuku...

?

Je naweza kuhairisha masomo kama nina sababu maalum?

?

Je mafunzo yanatolewaje?
Machapisho Tazama Zaidi Tazama Zaidi
2025-11-07 Facts and Figures 2024 2025-11-07 Facts and Figures 2023 2025-03-04 GN NO. 618 OF 2024 - THE LAW SCHOOL OF TANZANIA (CURRICULUM) (REVOCATION) BY LAWS 2024
Visitor's Counter
Visited Today:8
Visited Week:295
Visited Month:22011
Visited Year:6694

Video

16 Oct, 2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Mhe. Hamza Johari (katikati) akishuhudia makab... 16 Oct, 2025 Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania - Divisheni ya Kazi, Mhe. Jaji Dkt. Yo... 09 Apr, 2025 Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bw. Eliakim Maswi (katikati) akiimba... 04 May, 2024 Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Homera (aliyesimama katikati mstari wa... 13 Mar, 2024 Baadhi ya Watumishi Wanawake wa LST wakitoa msaada wa mahitaji muhimu kwa wanaw... 13 Mar, 2024 Watumishi Wanawake wa LST katika kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani 2024 13 Mar, 2024 Kaimu Mkuu wa Taasisi LST, Prof. Sist Mramba (kushoto aliyevaa miwani) pamoja na... 13 Mar, 2024 17 Jan, 2024 Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akiwa kwenye picha ya p... 01 Dec, 2023 Hafla ya 69 ya Uapisho wa Mawakili wapya 279 iliyofanyika tarehe 1 Desemba, 2023 Online Help Kuanzisha Enzi Mpya katika Udhibiti wa Sekta ya Michezo ya Kubahatisha nchini Tanzania Je kozi ya Stashahada ya juu ya Mafunzo ya Sheria kwa vitendo inachukua muda gani? Je naweza kuhairisha masomo kama nina sababu maalum? Je mafunzo yanatolewaje? send

Từ khóa » Http://saris.lst.ac.tz