Urusi - UN News - The United Nations
Có thể bạn quan tâm
Language
- العربية
- 中文
- English
- Français
- Русский
- Español
- Português
- Kiswahili
- Other
- Hindi हिंदी
- Urdu اردو
- Global
Lugha
- العربية
- 中文
- English
- Français
- Русский
- Español
- Português
- Kiswahili
- Other
- Hindi हिंदी
- Urdu اردو
- Global
Menu
- Mwanzo
- Kimataifa
- Afrika
- Amerika
- Asia Pasifiki
- Mashariki ya Kati
- Ulaya
- Kutoka Maktaba
- Mada
- Amani na Usalama
- Ukuaji wa Kiuchumi
- Msaada wa Kibinadamu
- Tabianchi na mazingira
- Haki za bindamu
- Masuala ya UM
- Wanawake
- Sheria na Kuzuia Uhalifu
- Afya
- Utamaduni na Elimu
- SDGs
- Wahamiaji na Wakimbizi
- Kwa kina
- Habari kwa Picha
- Mahojiano
- Makala
- Jifunze Kiswahili
- Makala Maalum
- Video
- Siku za UN
- Udadavuzi
- Katibu Mkuu
- Msemaji wa Katibu Mkuu
- Taarifa zote
- Hotuba muhimu
- Mikutano na wanahabari
- Safari za kikazi
- Vyombo vya Habari
- Video za UN
- Picha za Umoja wa Mataifa
- Matukio ya Mikutanoni
- Usajili kwa wanahabari
- TV ya Mtandaoni
Lugha
- العربية
- 中文
- English
- Français
- Русский
- Español
- Português
- Kiswahili
- Other
- Hindi हिंदी
- Urdu اردو
- Global
Tafuta
Tafuta Tafuta ZaidiAudio and Subscription
- Kabrasha la Sauti
- Sajili
Chuja:
- Sauti
- Video
Picha ya UN/Manuel Elías Miaka minne tangu Urusi ilipofanya uvamizi kamili dhidi ya Ukraine, Umoja wa Mataifa umeadhimisha kumbukizi hiyo leo kwa mjadala wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu mjini New York, uliomalizika kwa kupitishwa kwa azimio la “Msaada kwa amani ya kudumu Ukraine.”
© UNICEF/Kristina Pashkina Mateso ya raia nchini Ukraine hayaoneshi dalili yoyote ya kupungua huku maadhimisho ya miaka minne ya uvamizi kamili wa Urusi yakikaribia, wakati mashambulizi dhidi ya miundombinu ya nishati, kukatika kwa umeme na baridi kali vikiendelea, yameonya leo mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa.
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina kesho Ijumaa tarehe 13 Februari ikiwa ni ni siku ya Redio Duniani mwaka huu ikijikita katika Redio na Akili tunakupeleka mashariki mwa DRC, kwa George Musubao kutoka Televishen na Radio washirika Canal Victoire Du People Kasindi.
© UNHCR/Yevheniia Kozun Mratibu mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Kibinadamu nchini Ukraine, Matthias Schmale, amelaani vikali mashambulizi makubwa ya usiku wa kuamkia leo yaliyoendeshwa na Urusi kwa kutumia ndege zisizo na rubani au droni na makombora dhidi ya miji kadhaa mikubwa ya Ukraine, ambayo yamesababisha vifo na majeruhi miongoni mwa raia, pamoja na kuharibu miundombinu ya nishati wakati huu wa baridi kali.
© UNICEF/Olena Hrom Watoto wa Ukraine wanakabiliwa na majira ya baridi mabaya zaidi tangu kuanza kwa vita, huku mashambulizi makali dhidi ya miundombinu ya nishati na maji yakikumbana na baridi kali isiyovumilika, na kusukuma mamilioni ya familia katika mapambano ya kila siku ya kuishi, limeonya leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF.
© UNOCHA/Sergii Morozov Katika mazingira ya mashambulizi ya Urusi yanayoendelea na kuongezeka kote Ukraine, Umoja wa Mataifa umezindua ombi la misaada ya kibinadamu la dola bilioni 2.3 kwa mwaka 2026, kwa lengo la kusaidia watu milioni 4.1 walio hatarini zaidi nchini humo.
Picha ya UM/Manuel Elías Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo kuanzia majira ya alasiri kwa saa za New York, Marekani limekutana katika kikao cha dharura kujadili mashambulizi ya makombora na ndege zisizo na rubani yanayoendelea kufanywa na Urusi dhidi ya raia na miundombinu ya nishati nchini Ukraine, wakati baridi kali ya majira ya baridi ikiendelea kulikumba taifa hilo lililochoshwa na vita.
© UNHCR/Anastasia Vlasova Wahudumu wa misaada ya kibinadamu wako eneo la mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, wakikabiliana na athari za shambulio kubwa la usiku lililojeruhi raia na kukatiza huduma za kupasha joto na umeme kwa maelfu ya kaya na shule wakati huu wa hali ya baridi kali, imesema Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu na misaada ya Dharura OCHA.
© UNICEF/Oleksii Filippov Mashambulizi mapya ya anga yaliyofanywa usiku katika siku za hivi karibuni yamesababisha vifo vya raia kadhaa, akiwemo mtoto, na kuharibu wa miundombinu muhimu katika mikoa kadhaa ya Ukraine yamesema leo Mashirika ya Kibinadamu ya Umoja wa Mataifa.
© Humanitarian Mission Proliska/Jose Colon Mwaka 2025 ni Miongoni mwa miaka iliyokuwa na vifo vingi kwa Ukraine, amesema alisema leo Kayoko Gotoh, Mkurugenzi wa masuala ya Ulaya na Asia ya Kati na Kaimu Mkuu wa Ulaya, Asia ya Kati na Amerika katika Idara za Masuala ya Kisiasa, Ujenzi wa Amani na Operesheni za Amani za UN.
Pagination
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- …
Date
- 2026
- 2025
- 2024
- 2023
- 2022
- 2021
- 2020
- 2019
- 2018
SIKILIZA HABARI ZA UN
Habari za UN kwenye X
Maalum
Mashariki ya Kati Ukraine SYRIA DR CONGO ROHINGYA BURUNDI SOMALIA Soma ZaidiTừ khóa » Vita Urusi Na Ukraine
-
Lavrov Wa Urusi Asema Yuko Tayari Kuongeza Malengo Ya Vita - BBC
-
Urusi Na Ukraine: Mifumo Ya Ulinzi Wa Anga Ya Magharibi Kwa ... - BBC
-
Yaliyojiri Leo Katika Vita Vya Urusi Na Ukraine - YouTube
-
Yaliyojiri Leo Katika Vita Vya Urusi Na Ukraine 24.06.2022 - YouTube
-
Yaliyojiri Leo Katika Vita Ya Urusi Na Ukraine - YouTube
-
Yaliyojiri Leo Katika Vita Vya Urusi Na Ukraine 20.06.2022 - YouTube
-
Mzozo Wa Urusi-Ukraine | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 07.08.2022
-
Urusi: Habari, Podcasts, Video Na Uchambuzi - RFI
-
Khám Phá Video Phổ Biến Của Vita Ya Urusi Na Ukraine | TikTok
-
CHANZO CHA VITA URUSI NA UKRAINE NI... - East Africa TV Plus+
-
Ukraine | Matukio Ya Kisiasa | DW | 06.08.2022
-
Vita Vya Urusi Na Ukraine; Athari Kwa Dunia - The Standard
-
Ikiwa Tunafanya Vita,sisi Sio Wakristo! - | Vatican News