Vita Ya Urusi | JamiiForums

JamiiForums
  • Forums
  • Trending
  • New Posts
Log in Register Style variation System Light Dark Trending Search

Search

Search titles only Note By: Search Advanced search…
  • Latest activity
  • Register

Our Community

  • JamiiCheck
  • FichuaUovu
  • Stories of Change
  • Start Discussion

Coming Soon

  • JamiiCourses
  • JamiiData
  • JamiiShop
  • Premium Content

Regional Communities

Coming Soon
  • Tanzania
  • Uganda
  • Kenya
  • Rwanda
  • DRC
  • Zambia
  • Zimbabwe
Menu Log in Register Navigation More options Style variation System Light Dark Contact us Close Menu You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.You should upgrade or use an alternative browser.
  • Tags
vita ya urusi No Wikipedia entry exists for this tag Recent contents
  • 1
  • 2
Next 1 of 2

Go to page

Go Next Last Filters

Show only:

Loading…
  1. John Haramba

    Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
    • John Haramba
    • Thread
    • Feb 25, 2026
    • athari athari za vita kusitisha poland putin rais rais putin tanzania ubalozi ubalozi wa poland ukraine urusi urusi na ukraine vita vita ya urusi
    • Replies: 1
    • Forum: International Forum
  2. Chizi Maarifa

    Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

    Mpaka sasa Urusi imepoteza watu wengi sana katika vita yake na Ukraine, si ukiwazia tu wapiganaji waliokufa, bali pia wale waliojeruhiwa au kupotea — na ripoti kutoka vyanzo mbalimbali vinaelezea kiwango kikubwa cha uharibifu upande wake. Taarifa za Karibuni kuhusu Hasara za Urusi Ukadiriaji...
    • Chizi Maarifa
    • Thread
    • Aug 15, 2025
    • ukraine urusi urusi na ukraine vita ya urusi
    • Replies: 38
    • Forum: International Forum
  3. Komeo Lachuma

    Hii inamaanisha nini? BRICS Watoa Wito wa kukomeshwa Vita ya Urusi na Ukraine na pia Mash. Ya Kati

    • Komeo Lachuma
    • Thread
    • Oct 23, 2024
    • brics hii kati ukraine urusi urusi na ukraine vita vita ya urusi wito
    • Replies: 34
    • Forum: International Forum
  4. kavulata

    Mkopo wa Korea ni sehemu ya vita ya Urusi na Ukraine, tumenasa

    Mkopo tunaofurahia kuupata kutoka Korea kusini hautoki Korea bali Marekani kupitia Korea Kusini. Mkopo huu kwa wakati huu kwa nchi hizi ni maandalizi ya kutulazimisha tuwe upande wa Marekani (NATO) kama ikitokea vita kuu ya 3 (WWIII). Wametuchagulia upande kwenye vita baridi na moto kati ya...
    • kavulata
    • Thread
    • Jun 9, 2024
    • korea mkopo sehemu ukraine urusi vita vita ya urusi
    • Replies: 75
    • Forum: Jukwaa la Siasa
  5. ndege JOHN

    Kwanini vita ya Urusi na Ukraine sio kali sana ila waliokufa ni wengi kuliko ya Israel na Hamas?

    Hii imekaaje kaaje wakuu kwenye vyombo vya Habari tunaona mashambulizi baina ya Russia na Ukraine sio makali kivile yaani unakuta wanarusha bomu ila linaharibu tu upande wa jengo hatusikii takwimu za kutisha watu kufa ukilinganisha na vita ya Israel pale Gaza yaani ghorofa linapigwa kweli...
    • ndege JOHN
    • Thread
    • Apr 3, 2024
    • hamas israel kali kuliko ukraine urusi vita vita ya urusi waliokufa wengi
    • Replies: 21
    • Forum: International Forum
  6. Askarimaji

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi umefika kiwango cha zaidi kwa miaka mingi, lakini juhudi za kidiplomasia pia zinafanya kazi kwa bidii...
    • Askarimaji
    • Thread
    • Feb 13, 2022
    • putin ukraine urusi na ukraine vita ya urusi volodymyr zelensky
    • Replies: 150,155
    • Forum: International Forum
  7. M

    Kwanini Jumuiya ya kimataifa isimtumie Kanye West kama msuluhishi vita ya Urusi na Ukraine

    Mzuka Wanajamvi! Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa. Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani. Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
    • Maghayo
    • Thread
    • Sep 7, 2023
    • jumuiya kanye west kitaifa ukraine urusi vita vita ya urusi
    • Replies: 21
    • Forum: International Forum
  8. Webabu

    Uhakika wa kushindwa Ukraine ni huu -The Telegraph

    Ukraine wameishiwa na watu wa kuwasajili jeshini na wakati hauko rafiki nao. Kwa maoni ya wachambuzi wa kijeshi wa The Telegraph, haya mapigo ya droni yanayotangazwa na Ukraine hayawezi kabisa kubadili kushindwa kwa taifa hilo mbele ya Urusi. Ukraine imetangaza kuteka kijiji cha Robotyne...
    • Webabu
    • Thread
    • Aug 23, 2023
    • kushindwa mgogoro wa ukraine na urusi uhakika ukraine vita ya urusi
    • Replies: 17
    • Forum: International Forum
  9. Kagosi DJ

    Je, tutarajie kuuona msimamo wa Tanzania kuhusu vita ya Urusi ma Ukraine?

    Baada ya kuwasili kwa Makamu wa Rais wa Marekani nchini Tanzania hapo jana, ajenda kadhaa zinatarajiwa kuletwa mezani. Tanzania imekuwa haifungani na upande wowote ‘non-alignment’ kuhusu Vita inayoendelea Ukraine. Hili limejidhihirisha kwenye mfululizo wa kura zilizopigwa UNGA tangu kuanza kwa...
    • Kagosi DJ
    • Thread
    • Mar 30, 2023
    • tanzania ukraine urusi vita ya urusi
    • Replies: 11
    • Forum: Jukwaa la Siasa
  10. Allen Kilewella

    Baada ya Vita ya Urusi na Ukraine, wanaotumiwa na Wagner watarudishwa Afrika kuwa Mamluki

    Wanaojua Mamluki wanavyotengenezwa watajua namaanisha nini. Mtu alikuwa kifungoni na amekata tamaa ya kutoka, ghafla anaambiwa kuwa akipigana upande wa Urusi kifungo kitapunguzwa kwa nusu na akitoka atapewa hela. Watu wa aina hii huitwa "Sleeper Cells" pale wanapataka kutumiwa kwa matendo...
    • Allen Kilewella
    • Thread
    • Mar 27, 2023
    • afrika baada mamluki ukraine urusi vita vita ya urusi
    • Replies: 11
    • Forum: International Forum
  11. Mpinzire

    Drone ya Marekani yaaangushwa na ndege vita ya Urusi huko Bahari Nyeusi

    Jeshi la Marekani limethibitisha ndege yao isiyo na ruban (Drone) imeangushwa kwa kugongwa na ndege vita ya Urusi katika Bahari Nyeusi ambako Jeshi la Marekan wanasema drone yao ilikuwa katika eneo la kimataifa!. Ata hivo mjadala umeibuka kuwa drone ilienda kutafuta nini Bahari Nyeusi ambako...
    • Mpinzire
    • Thread
    • Mar 14, 2023
    • bahari marekani ndege nyeusi urusi vita vita ya urusi
    • Replies: 187
    • Forum: International Forum
  12. Chillah

    Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

    Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
    • Chillah
    • Thread
    • Feb 13, 2023
    • duniani kazi kijasusi kufanya kufanya kazi mashirika tanu ujasusi vita ya urusi
    • Replies: 62
    • Forum: Jukwaa la Historia
  13. Gama

    Vita ya urusi na Ukraine inavyosababisha vifo vya Nyangumi

    Hali inaonesha kuwa kumekuwa na ongezeko la juu la vifo vya viumbe aina ya Nyangumi ambavyo vimehisiwa ni kutokana na ongezeko la vyombo vya baharini (manowali) baharini. Aidha miungurumo ya Helkopta na makombora yanayopita juu ya bahari pamoja na milipuko ya chini ya bahari inatajwa pia...
    • Gama
    • Thread
    • Jan 9, 2023
    • ukraine urusi vifo vita vita ya urusi
    • Replies: 6
    • Forum: International Forum
  14. S

    Kuna jambo lazima litafanyika hivi karibuni nchini Urusi ili kumaliza vita ya Urusi na Ukraine, na bei ya mafuta inaweza kuanguka kuliko kawaida

    Vita ya Urusi na Ukraine imeathiri karibu nchi zote duniani, na hasa upande wa mafuta. Vita hii imeleta hali ambayo haikubaliki duniani kote na ndani ya Urusi pia. Kimsingi, Putin ndio anaonwa kua chanzo cha haya yote. Na ni wazi Putin hakutarajia kwamba hali ya vita na Ukraine ingekua kama...
    • Synthesizer
    • Thread
    • Oct 16, 2022
    • bei ya mafuta karibuni kuanguka kumaliza lazima ukraine urusi vita ya urusi
    • Replies: 84
    • Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
  15. Komeo Lachuma

    Suala la China vs Taiwan, vita ya Urusi na Ukraine. Kusema ukweli kuna mataifa yametu-disappoint sana. A luta continua

    Kiukweli niliwaamini sana Urusi, sasa sina imani nao. Hii vita kwa nguvu ambazo wanazo Russia ilikuwa waimalize ndani ya week moja zikizidi mbili. Sasa sielewi kwa nini wanapiga dana dana nyingi sana?! Russia ni Taifa ambalo tumekuwa tukitegemea liitishe Marekani. Sasa Ukraine ka nchi ambako...
    • Komeo Lachuma
    • Thread
    • Aug 29, 2022
    • china hata kusema kutoa mataifa sana suala vita ya urusi
    • Replies: 66
    • Forum: International Forum
  16. JanguKamaJangu

    UNICEF: Takriban Watoto 1,000 wameuawa tangu kuanza kwa vita ya Urusi na Ukraine

    Watoto 1,000 Nchini Ukraine wameuawa au kujeruhiwa vibaya tangu kuanza kwa vita baia ya taifa hilo na Urusi, Februari 24, 2022. Shirika la Umoja wa Mataifa Linalohudumia Watoto (UNICEF) imesema ina takwimu za Watoto 972 waliouawa lakini idadi ya kweli huenda ikawa kubwa zaidi kwa kuwa...
    • JanguKamaJangu
    • Thread
    • Aug 23, 2022
    • kuanza ukraine unicef urusi vita vita ya urusi watoto
    • Replies: 9
    • Forum: International Forum
  17. COARTEM

    Wamarekani wameanza kuonja Machungu ya Vita ya URUSI vs Ukraine

    Rais Joe Biden wa Marekani anailaumu Russia kwa kusababisha ongezeko la bei ya Mafuta na Gesi nchini mwake. zaidi soma hapa. ----- President Joe Biden has blamed Russia for the record-high gas prices in the United States, while pressing Congress to temporarily suspend the federal gas tax to...
    • COARTEM
    • Thread
    • Jun 23, 2022
    • machungu ukraine urusi vita vita ya urusi wamarekani
    • Replies: 19
    • Forum: International Forum
  18. beth

    Zelensky: Vita ya Urusi imefanya Afrika kuwa "Mateka"

    Akihutubia Umoja wa Afrika (AU), Rais Volodymyr Zelensky amesema Afrika ni "mateka" katika Vita ya Urusi dhidi ya Taifa lake, kwani kuzuiwa kwa usafirishaji wa Nafaka Ukraine kumepelekea uhaba ambao unaweka Mamilioni ya watu katika hatari ya njaa. Amesema inawezekana Vita inaendelea mbali na...
    • beth
    • Thread
    • Jun 21, 2022
    • afrika urusi vita vita ya urusi zelensky
    • Replies: 96
    • Forum: International Forum
  19. beth

    NATO: Vita ya Urusi na Ukraine inaweza kudumu miaka kadhaa

    Katibu Mkuu wa NATO, Jens Stoltenberg ameonya kuwa Vita kati ya Urusi na Ukraine inaweza kuendelea kwa miaka kadhaa, ikielezwa Vikosi vya Urusi vinazidisha mashambulizi dhidi ya Ukraine eneo la Mashariki mwa nchi hiyo Amesema Mataifa yanatakiwa kuendelea kuisaidia Ukraine hata kama gharama ya...
    • beth
    • Thread
    • Jun 19, 2022
    • nato ukraine urusi vita vita ya urusi
    • Replies: 18
    • Forum: International Forum
  20. S

    Vita ya Urusi na Ukraine: Kiulinzi wa nchi yetu tunajifunza nini?

    Nionavyo silaha zote tunazotumia ni za kizamani na hazifai kabisa kabisa katika mapambano ya kivita vya kileo. Kuna Hapasoniki, kuna drones,kuna thermobaric ambayo inapoteza oxyen kutoka centre point ya mlipuko kwa kilomita 2 na nusu, kwa maana atakaekuwa ndani ya eneo hilo maisha yake ndio...
    • Shocker
    • Thread
    • Jun 1, 2022
    • nchi ukraine urusi vita vita ya urusi
    • Replies: 2
    • Forum: Jukwaa la Siasa
  • 1
  • 2
Next 1 of 2

Go to page

Go Next Last
  • Tags

Our Community

  • JamiiCheck
  • FichuaUovu
  • Stories of Change
  • Start Discussion

Coming Soon

  • JamiiCourses
  • JamiiData
  • JamiiShop
  • Premium Content

Regional Communities

Coming Soon
  • Tanzania
  • Uganda
  • Kenya
  • Rwanda
  • DRC
  • Zambia
  • Zimbabwe
  • JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register. By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies. Accept Learn more…
Back Top Bottom Menu Forums New posts Log in Register

Từ khóa » Vita Vya Urusi Na Ukraine Jamii Forum