Ukraine | JamiiForums
Có thể bạn quan tâm
- Forums
- Trending
- New Posts
Search
Search titles only Note Search Advanced search…- Latest activity
- Register
Our Community
- JamiiCheck
- FichuaUovu
- Stories of Change
- Start Discussion
Coming Soon
- JamiiCourses
- JamiiData
- JamiiShop
- Premium Content
Regional Communities
Coming Soon- Tanzania
- Uganda
- Kenya
- Rwanda
- DRC
- Zambia
- Zimbabwe
- Tags
- 1
- 2
- 3
- …
Go to page
Go - 63
Go to page
Go Next Last FiltersShow only:
Loading…-
Super Power aomba msaada wa kijeshi kutoka kwa Ukraine ili wasaidiane kupambana na Iran
Niaje waungwa Hii habari ingeandikwa na Al Jazeera misukule ya Netanyahu ingesema ni uongo, lkn kwa bahati nzuri imeandikwa na gazeti lao wenyewe kupitia kauli halali ya raisi wa Ukraine Mr Zelensky. Inapofikia hatua ya super power kumuomba maiti sanda, au muuguzi kumuomba mgonjwa uji, basi...- 6 Pack
- Thread
- Today at 9:49 AM
- iran israel msaada wa kijeshi super power ukraine
- Replies: 7
- Forum: International Forum
-
Urusi angekubali Ukraine iikaribishe NATO yangemkuta ya Iran kashtukia mchezo
Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine. Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa...- Sir John Deere
- Thread
- Sunday at 8:22 PM
- iran mchezo nato ukraine urusi
- Replies: 2
- Forum: International Forum
-
FIFA wataifungia USA kwa kuivamia Iran kama walivyoifungia Russia kwa kuivamia Ukraine?
Tutarajie lolote kutoka FIFA? Kwanza kwa nini waliiban Russia na wanadai hawajihusishi na siasa?- Lycaon pictus
- Thread
- Saturday at 8:27 PM
- fifa iran russia ukraine usa
- Replies: 16
- Forum: Jamii Sports
-
Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita
Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...- John Haramba
- Thread
- Feb 25, 2026
- athari athari za vita kusitisha poland putin rais rais putin tanzania ubalozi ubalozi wa poland ukraine urusi urusi na ukraine vita vita ya urusi
- Replies: 1
- Forum: International Forum
-
Story time:Holodomor: Njaa Kubwa ya Ukraine (1932-1933)
1. Sababu ya Asili Holodomor ilikuwa njaa ya bandia iliyoletwa na sera za kisiasa na uchumi za Soviet Union chini ya Joseph Stalin. Sababu kuu ni: •Kutaifishwa kwa Kilimo: Wakulima wa Ukraine walilazimishwa kuuza mazao kwa bei ndogo kwa serikali, huku mashamba makubwa yakichukuliwa. •Bajeti...- Mshana Jr
- Thread
- Jan 23, 2026
- kubwa njaa story ukraine
- Replies: 4
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
-
Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine
Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...- Chizi Maarifa
- Thread
- Jan 21, 2026
- jeshi jeshi la urusi katika mwafrika mwenzetu ukraine urusi uzoefu wake
- Replies: 29
- Forum: International Forum
-
Wengi wetu tulikuwa tunaona ni uonevu Russia kuivamia kijeshi Ukraine, ila kwa haya yanayotokea (Imperialism)- ilikuwa haki kabisa ya Urusi
JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE.............. NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ...... OIL...- Lexus SUV
- Thread
- Jan 8, 2026
- haki haya ila kijeshi russia ukraine uonevu urusi wengi
- Replies: 31
- Forum: International Forum
- R
Inashangaza kuona China anayeikalia Taiwan na Russia aliyevamia Ukraine anailaumu USA kuivamia Venezuela
Russia imeivamia Ukraine, inaua watu, uchumi etc etc China "inaikalia" Taiwan kinyume na matakwa ya wananchi wa Taiwan. Leo wanatoka na matamko ya kuilaani USA. Moral authority hawana kuisema USA!- Retired
- Thread
- Jan 6, 2026
- china russia taiwan ukraine usa venezuela wote
- Replies: 24
- Forum: International Forum
-
Urusi yasema Ukraine ilishambulia makazi ya Putin
Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa Hayo yakitokea Rais wa Ukraini adai Urusi inadanganya na ina lengo la kushambulia majengo ya serikali huko Kyiv Putin aagiza jeshi la...- HIMARS
- Thread
- Dec 29, 2025
- makazi putin ukraine urusi
- Replies: 20
- Forum: International Forum
-
Ukraine yapoteza mji wa mashariki uliokumbwa na vita
Wanajeshi wa Ukraine wamejiondoa kutoka mji wa mashariki wa Siversk uliokumbwa na vita, huku Urusi ikiendelea kusonga mbele taratibu. Jeshi la Ukraine lilisema Jumanne kwamba lilichukua hatua hiyo "kuokoa maisha ya wanajeshi wetu na uwezo wa kupigana wa vitengo", na kuongeza kwamba vikosi vya...- The Zanzibar Echo
- Thread
- Dec 24, 2025
- mashariki mji ukraine vita
- Replies: 3
- Forum: International Forum
-
Vita ya Ukraine ni ya Kimkakati, angalia utajiri wa eneo la Donbas ambalo Putin atalichukua kwa jeshi
Discovered reserves of the system are 1.6 billion barrels of oil . 59 trillion cubic feet of gas. More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal. Aluta kontinua Russia- MakinikiA
- Thread
- Dec 11, 2025
- eneo jeshi kimkakati putin ukraine utajiri vita vita ya ukraine
- Replies: 32
- Forum: International Forum
-
Benki Kuu ya Ulaya yakataa kuidhinisha fedha za Russia zilizokuwa frozen kwa ajili ya kusaidia Ukraine
Benki Kuu ya Ulaya ilikataa kuunga mkono malipo ya €140 bilioni kwa Ukraine kutoka kwa mali za Urusi zilizotaifishwa, inaripoti Financial Times ikinukuu vyanzo. Makala inasema kwamba ECB ilihitimisha kwamba pendekezo la EU linakiuka mamlaka yake.- Huihui2
- Thread
- Dec 2, 2025
- benki benki kuu fedha kuidhinisha kusaidia kuu russia ukraine ulaya
- Replies: 6
- Forum: International Forum
-
USA yatoa masharti ya kumaliza vita vya Ukraine
Mawaziri kutoka Ukraine, Marekani, Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Umoja wa Ulaya watakutana nchini Uswizi ili kujadili mpango wa pointi 28 uliopendekezwa na Washington wa kumaliza vita na Urusi. Hapa ni maelezo ya hoja kuu za mpango huo wa Marekani kwa Ukraine:- Kusitisha mapigano mara...- Stuxnet
- Thread
- Nov 23, 2025
- kumaliza masharti ukraine usa vita
- Replies: 41
- Forum: International Forum
-
Medvedev: NATO kuilinda anga ya Ukraine ni 'tangazo la vita'
Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema uamuzi wa nchi za Jumuiya ya Kujihami ya NATO wa kuilinda anga ya Ukraine itakuwa ni kama tangazo la vita. Medvedev amesema kwenye mtandao wa kijamii wa Telegram kwamba kutelekeza wazo la kuiwekea Ukraine ulinzi wa anga na kuyaruhusu mataifa ya...- Dalton elijah
- Thread
- Sep 15, 2025
- medvedev nato ukraine vita
- Replies: 4
- Forum: International Forum
-
Trump akiri hawezi kumaliza vita vya uvamizi wa Russia Ukraine bila msaada wa NATO Ulaya
Zile tambo za kumaliza vita kwa siku moja atakapoingia Ikulu alizowahadaha nazo MAGA Wamarekani sasa ni kama zimefika ukingoni baada ya karibia mwaka ukienda kuisha bila dalili zozote za vita kuisha zaidi sana akiwa amechezwa Shere na Putin! Sasa anasema kwanza hii vita sio yake ni ya Biden na...- Yoda
- Thread
- Sep 13, 2025
- nato russia trump ukraine
- Replies: 44
- Forum: International Forum
-
Mauaji ya binti Iryna Zarutska huko Marekani yamezua gumzo
Kuna video inaumiza kweli, binti mdogo ambae mi mkimbizi kutoka Ukraine, ameuwawa kwa kukatwa shingoni na jamaa mweusi kwenye train. Ni wazi kua ameuwawa kutokana na rangi ya ngozi yake "White", weusi wengine waliokuepo hawakuonesha kumsaidia binti, alianguka kwenye kiti chake, akavuja damu...- haszu
- Thread
- Sep 10, 2025
- binti kikatili marekani mauaji iryna zarutska mauaji marekani ukraine
- Replies: 46
- Forum: International Forum
-
Nini kinafanya Urusi kuitamani Ukraine koloni lake la zamani na sio mengine?
Hii vita ya Russia vs Ukraine kuna muda hata siipatii majibu. Urusi alikuwa na makoloni mengi chini ya mwavuli wa Sovieti ikiwemo czech, Belarus, Slovenia na Ukraine ikiwemo n.k . Sasa imekuwaje hata baada ya Muungano huo kuvunjika na kila nchi kuwa huru ila bado mrusi anaitamani tena...- mcTobby
- Thread
- Sep 3, 2025
- ukraine urusi zamani
- Replies: 3
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
-
Kikosi Cha Wanajeshi Wapatao 1000 Wa Urusi Chazungukwa Na Vikosi Vya Ukraine Wakati "Command Centre"Yao Ikiangamizwa Kabisa Huko Pokrovsk, Ukraine
Majanga Kwa Putin🤔 .. Pokrovsk continues to be one of the hottest areas on the frontlines in , the scene of fierce fighting.- Jackal
- Thread
- Aug 31, 2025
- ukraine urusi vikosi wanajeshi
- Replies: 16
- Forum: International Forum
- M
Spika wa zamani wa Ukraine auwawa kwa kupigwa risasi
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kimataifa/aliyekuwa-spika-bunge-la-ukraine-auawa-kwa-kupigwa-risasi-5173452- Muuza Kangala
- Thread
- Aug 30, 2025
- kupigwa kupigwa risasi risasi spika ukraine wa zamani zamani
- Replies: 10
- Forum: International Forum
-
Kwa maana hii Ukraine wameshindwa vita
Kwasababu ambazo Trump ameziorodhesha ni kweli Ukraine pamoja na kusaidiwa na marekani pamoja na umoja wa nchi za ulaya hii vita imewashinda- Alibino
- Thread
- Aug 25, 2025
- hii maana ukraine vita wameshindwa
- Replies: 4
- Forum: International Forum
- 1
- 2
- 3
- …
Go to page
Go - 63
Go to page
Go Next Last- Tags
Our Community
- JamiiCheck
- FichuaUovu
- Stories of Change
- Start Discussion
Coming Soon
- JamiiCourses
- JamiiData
- JamiiShop
- Premium Content
Regional Communities
Coming Soon- Tanzania
- Uganda
- Kenya
- Rwanda
- DRC
- Zambia
- Zimbabwe
- JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register. By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies. Accept Learn more…
Từ khóa » Vita Urusi Na Ukraine Jamii Forum
-
Urusi | JamiiForums
-
가입 - Facebook
-
Tunachofahamu Kuhusu Vifo Vya Wanajeshi Wa Urusi Nchini Ukraine ...
-
Je, Mzozo Huo Unagharimu Uchumi Wa Urusi Kwa Kiasi Gani? - BBC
-
Jamii Forums On Twitter: "Rais Wa Urusi, Vladimir Putin Anatarajiwa ...
-
JamiiForums
-
Urusi Na Uturuki Zajadili Usafirishaji Wa Nafaka Za Ukraine - DW
-
Facebook - Workplace
-
Siku Ya Ushindi Putin Awapongeza Wanajeshi Wake Kwa Kuitetea ...
-
Đại Diện Ukraine Tại Việt Nam Trải Lòng Về Chiến Sự Nga-Ukraine - PLO
-
BREAKING,HALI INATISHA HOFU YATANDA,VITA YA URUSI NA ...
-
Ukraine Xác Nhận Vòng đàm Phán Trực Tuyến Mới Với Nga | Châu Âu
-
Tin Tức Tình Hình Chiến Sự Nga Tấn Công Ukraine Mới Nhất Hôm Nay