Urusi | JamiiForums

JamiiForums
  • Forums
  • Trending
  • New Posts
Log in Register Style variation System Light Dark Trending Search

Search

Search titles only Note By: Search Advanced search…
  • Latest activity
  • Register

Our Community

  • JamiiCheck
  • FichuaUovu
  • Stories of Change
  • Start Discussion

Coming Soon

  • JamiiCourses
  • JamiiData
  • JamiiShop
  • Premium Content

Regional Communities

Coming Soon
  • Tanzania
  • Uganda
  • Kenya
  • Rwanda
  • DRC
  • Zambia
  • Zimbabwe
Menu Log in Register Navigation More options Style variation System Light Dark Contact us Close Menu You are using an out of date browser. It may not display this or other websites correctly.You should upgrade or use an alternative browser.
  • Tags
urusi Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia. The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park. View More On Wikipedia.org Recent contents
  • 1
  • 2
  • 3
  • Go to page

    Go
  • 70
Next 1 of 70

Go to page

Go Next Last Filters

Show only:

Loading…
  1. The Dictator

    Usahihi wa shabaha za Iran kwenye vita hii, macho ya China na Urusi yanahusika. Hasara za Marekani furaha ya China!

    Zamani, makombora mengi ya Iran yalitegemea GPS ya Marekani, ambapo Marekani aliweza kuizima au kuivuruga (jamming) wakati wa vita. Iran sasa imehamishia mifumo yake ya kijeshi kwenye mfumo wa BeiDou-3 wa CChina Mfumo huu unawapa Iran uwezo wa kulenga kitu kwa usahihi wa hadi sentimita chache...
    • The Dictator
    • Thread
    • Wednesday at 4:23 PM
    • china china na urusi iran marekani urusi
    • Replies: 1
    • Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
  2. Sir John Deere

    Urusi angekubali Ukraine iikaribishe NATO yangemkuta ya Iran kashtukia mchezo

    Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine. Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa...
    • Sir John Deere
    • Thread
    • Sunday at 8:22 PM
    • iran mchezo nato ukraine urusi
    • Replies: 2
    • Forum: International Forum
  3. Wakusoma 12

    Wanajeshi wa Urusi waliiambia BBC: 'Tulishuhudia wenzetu wakiuawa kwa amri ya makamanda wetu'

    Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Dima anasema alishuhudia askari mwenzake akiuawa kwa amri ya moja kwa moja ya kamanda wake. Maelezo kuhusu taarifa Onyo: Taarifa hii ina maelezo ya vurugu iliyokithiri na marejeleo ya kujiua...
    • Wakusoma 12
    • Thread
    • Feb 26, 2026
    • amri bbc makamanda urusi wanajeshi
    • Replies: 3
    • Forum: International Forum
  4. John Haramba

    Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
    • John Haramba
    • Thread
    • Feb 25, 2026
    • athari athari za vita kusitisha poland putin rais rais putin tanzania ubalozi ubalozi wa poland ukraine urusi urusi na ukraine vita vita ya urusi
    • Replies: 1
    • Forum: International Forum
  5. Mhaya

    Larry Madowo aja na Documentary ya kuonesha jinsi Urusi inavyoshawishi Waafrika kwenda kufa vitani Ukrein

    Miezi ya Juzi kati nilikuja na chapisho la jinsi Waafrika waliokuwa wanaimba kwa Kiswahili walivyokuwa wanadhiakiwa kwa lugha ya Kirusi kwamba hawa ni takataka tu (Disposable) na wanaenda kuwekwa Frontline yani mstari wa mbele vitani. Sasa Larry Madowo kupitia kituo cha CNN kafanya full...
    • Mhaya
    • Thread
    • Feb 4, 2026
    • documentary jinsi kufa kwenda larry madowo ukrein urusi waafrika
    • Replies: 8
    • Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
  6. K

    Ni kama vile Urusi ilikuwa anaisubiri Marekani aishambulie Iran ili Urusi alipe kisasi.

    Putin baada ya kuona anashambuliwa na USA kwa kushirikiana na NATO kupitia Ukraine,alitoa ahadi kuwa, kuanzia Sasa Urusi itakua inazipa silaha Kali nchi mahasimu wa Marekani. Akapendekeza kuwa wanaweza kuanza kuwapa silaha wa Houth kwa vile Wana ujasiri na uthubutu. Sasa muda wa kisasi ndio...
    • kendy
    • Thread
    • Feb 4, 2026
    • iran kisasi marekani urusi
    • Replies: 30
    • Forum: International Forum
  7. ELI COHEN

    Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
    • ELI COHEN
    • Thread
    • Jan 28, 2026
    • iran israel kati media pakistan qatar uchina urusi usalama vita
    • Replies: 3
    • Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
  8. Chizi Maarifa

    Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

    Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
    • Chizi Maarifa
    • Thread
    • Jan 21, 2026
    • jeshi jeshi la urusi katika mwafrika mwenzetu ukraine urusi uzoefu wake
    • Replies: 29
    • Forum: International Forum
  9. MK254

    Venezuela ilikuwa imewekeza kwenye mifumo ya kiulinzi ya Iran, Urusi na China, ila USA walipita humo humo

    Jameni hadi raha, kuna wakati huwa nasoma taarifa kama hizi najikuta nafurahia hadi naumwa, USA ni hatari nyingine, wakipania wao hufanya tu, juzi waliichukua meli iliyojinasibu kuwa ya Urusi, licha ya Warusi kusema watailinda. ==============For English Audience ============ The overnight US...
    • MK254
    • Thread
    • Jan 10, 2026
    • china ila iran mifumo urusi usa venezuela
    • Replies: 3
    • Forum: International Forum
  10. Lexus SUV

    Wengi wetu tulikuwa tunaona ni uonevu Russia kuivamia kijeshi Ukraine, ila kwa haya yanayotokea (Imperialism)- ilikuwa haki kabisa ya Urusi

    JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE.............. NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ...... OIL...
    • Lexus SUV
    • Thread
    • Jan 8, 2026
    • haki haya ila kijeshi russia ukraine uonevu urusi wengi
    • Replies: 31
    • Forum: International Forum
  11. Lycaon pictus

    US wameiteka meli ya mafuta ya Urusi

    Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa. US wanadai...
    • Lycaon pictus
    • Thread
    • Jan 7, 2026
    • mafuta mafuta ya urusi meli meli ya mafuta urusi
    • Replies: 53
    • Forum: International Forum
  12. Bata batani

    Katika vita vya pili Ujerumani had the best military technology kuliko USA wala Urusi lakini ilikuwaje wakashidwa vita?

    Baada ya vita vya pili kumalizika ukweli ni kwamba genius wengi kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani , urusi pamoja na uingereza baada ya ujerumani kuionyesha dunia nguvu yao kijeshi na kitekilonojia sasa hebu leo hebu tujikumbushe ugundunzi uliofanywa na wajerumani 1.kombola la v2...
    • Bata batani
    • Thread
    • Jan 7, 2026
    • marekani ujerumani urusi uwezo
    • Replies: 44
    • Forum: International Forum
  13. M

    Urusi lilikuzwa sana kummudu Zelensky ndani ya wiki hata akisaidiwa lakini ni mwaka wa nne sasa, Trump kaongea kidogo masaa mawili Kamnyakua Maduro

    Mzee wa kazi DONALD J TRUMP
    • mkata uzi
    • Thread
    • Jan 6, 2026
    • putin trump urusi zelensky
    • Replies: 7
    • Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
  14. HIMARS

    Urusi yasema Ukraine ilishambulia makazi ya Putin

    Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa Hayo yakitokea Rais wa Ukraini adai Urusi inadanganya na ina lengo la kushambulia majengo ya serikali huko Kyiv Putin aagiza jeshi la...
    • HIMARS
    • Thread
    • Dec 29, 2025
    • makazi putin ukraine urusi
    • Replies: 20
    • Forum: International Forum
  15. H

    Waziri Kombo na Kabudi wakutana na waziri wa mambo ya nje wa shirikisho la Urusi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Leo tarehe 19 Desemba, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi walikutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya...
    • Habari za Zanzibar
    • Thread
    • Dec 20, 2025
    • kabudi mambo ya nje urusi waziri kombo
    • Replies: 26
    • Forum: Jukwaa la Siasa
  16. Fbn

    Urusi sijawai kuona faida yake zaidi kuongeza umaskini kwa afrika wanaomtegemea.

    Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza. Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian. Ukandamizaji wa habari na mambo yanayo fanywa kama kuwekewa sumu,kutekwa urusi sio mageni kwa kisingizio kulinda Amani...
    • Fbn
    • Thread
    • Dec 13, 2025
    • afrika faida kuona kuongeza umaskini urusi
    • Replies: 10
    • Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
  17. The Zanzibar Echo

    Putin: Kama Ulaya inataka vita na Urusi tupo tear ata sasa

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema hawana nia ya kupigana na ulaya ila ikiwa ulaya na vita na Russia basi wao wapo teari Ata sasa
    • The Zanzibar Echo
    • Thread
    • Dec 6, 2025
    • putin ulaya urusi vita
    • Replies: 13
    • Forum: International Forum
  18. stakehigh

    Urusi yaingilia kati matamko ya mabalozi

    Unaandika ubalozi wa Urusi kwenye Ukursa wao wa X
    • stakehigh
    • Thread
    • Dec 5, 2025
    • kati mabalozi matamko urusi
    • Replies: 56
    • Forum: Jukwaa la Siasa
  19. Chizi Maarifa

    Watatusaidia China, Urusi na Waarabu. Nyie Mabeberu msitutishe

    Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu. Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga...
    • Chizi Maarifa
    • Thread
    • Nov 21, 2025
    • china mabeberu urusi waarabu
    • Replies: 42
    • Forum: Jukwaa la Siasa
  20. M

    Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
    • mkata uzi
    • Thread
    • Nov 17, 2025
    • china cuba hai hofu kujiandaa kutoka kwasababu marekani muungano nchi nyerere sababu shinikizo uhuru uhuru wa zanzibar urusi ushawishi vita waingereza wakati wamarekani wenzake zanzibar
    • Replies: 1
    • Forum: Jukwaa la Siasa
  • 1
  • 2
  • 3
  • Go to page

    Go
  • 70
Next 1 of 70

Go to page

Go Next Last
  • Tags

Our Community

  • JamiiCheck
  • FichuaUovu
  • Stories of Change
  • Start Discussion

Coming Soon

  • JamiiCourses
  • JamiiData
  • JamiiShop
  • Premium Content

Regional Communities

Coming Soon
  • Tanzania
  • Uganda
  • Kenya
  • Rwanda
  • DRC
  • Zambia
  • Zimbabwe
  • JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register. By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies. Accept Learn more…
Back Top Bottom Menu Forums New posts Log in Register

Từ khóa » Vita Urusi Na Ukraine Jamii Forum